| Oliver akiwa ametulia kwa pozi. |
| Bro Joshua na mkewe Lilian Mlelwa wakimsifu Mungu. |
| Mgeni rasmi meya wa manispaa ya Ilala mheshimiwa Jerry Slaa mwenye shati ya kitenge akifuatilia tamasha hilo. |
| Mwanamama Upendo Kilahiro akiwa kwenye pozi na mpendwa mwenzie |
| Baadhi ya wapigaji wa vyombo wa Uinjilisti Kijitonyama wakipiga vyombo kumsapoti Oliver. |
| Baadhi ya waumini na waimbaji wa kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiwa kanisani hapo. |
| Mtoto Gloria Kilahiro naye alikuwepo sambamba na mama yake katika tamasha hilo. |
| Safu ya wapigaji kama kawaida. |
| Waimbaji wa Kijito waliomsapoti Oliver katika uimbaji wakiingia kanisani hapo. |
| Safi kabisa. |
| Mathew na Mwemezi wakienda sawa kuingia madhabahuni pamoja na wenzao. |
| Hakika walipendeza. |
| Oliver akipokea pongezi kutoka kwa mtoto aliyeguswa na uimbaji wake. |
| Hapa sijui ilikuwa sebene maana hapo ndio nyumbani kwake. |
| Oliver ama mwite pacha wa Bahati Bukuku kwa mfanano wao, akienda sawa. |
| Oliver ama mite mama Alex akimtukuza muumba wake. |
| Israel hakuwa nyuma katika kumwinua Mungu kwa pamoja na mkewe. |
| Jukwaa lilipendeza, uimbaji ulinoga. |
| Oliver Benson wa Israel. |
| Oliver Benson wa Israel Mujumba. |
| Safi kabisa mke na mume wakienda sawa. |

No comments:
Post a Comment