Social Icons

Friday, 29 August 2014

MIAKA 40 YA KITUO CHA HABARI MAALUM MEDIA KATIKA PICHA

 



Siku ya ijumaa wiki hii kituo maarufu ndani na nje ya nchi cha Habari Maalum Media(HMM) zamani kikifahamika kama Radio Habari Maalum chenye makao makuu yake jijini Arusha nchini, kilitimiza miaka 40 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1974, katika sherehe ambazo zilifanyika katika viwanja vya kituo hicho kilichopo maeneo ya Ngaramtoni jijini Arusha. Miongoni mwa watu waliohudhuria maadhimisho hayo ya miaka 40 ni pamoja na waanzilishi wa kituo hicho mzee Fred pamoja na mkewe, viongozi kutoka nchi mbalimbali, wachungaji, na watu mbalimbali ikiwemo kwaya ya Upendo kutoka kanisa la St James ... more »

No comments:

Post a Comment