Social Icons

Sunday, 27 July 2014

LEO TUMECHAGUA KUSIFU NA KUABUDU PAMOJA NA MISE ANAEL

  
Misericordias Anael Mushi
Chaguo la GK wiki hii linatoka kwa Misericordia Anael Mushi, ambay kutumia 'saxophone' kumuabudu kumrudishia sifa na utukufu Mungu. Hapa tunakupa picha za sauti (video) mbili ambazo amehudumu akiwa Dar es Salaam kwenye tamasha la pasaka sanjari na Upendo Kilahiro, na kwa Arusha akiwa Zion City Church sanjari na Arusha Mass Choir.
Ukmaliza kumtazama tena na tena ujiulize kwamba unatumiaje kipaji chako, ujuzi wako, kipawa chako na hata vitu vilivyokuzunguka kumutmikia Mungu.




Kwa video ya pili. tunaambatanisha na picha mnato za siku hiyo kwa ambaye hukuwepo ili basi ufaidike na kilichojiri.


























No comments:

Post a Comment